Videos

Video: Baadhi ya Wakenya wasema hili ni tangazo jipya la biashara linaloboa zaidi kuwahi kutokea

Nani asiyezifahamu mbwembwe nyingi za mtangazaji wa Citizen TV ya Kenya, Johnson Mwakazi? Huenda akawa ndio mtangazaji wa TV mwenye mbwembwe zaidi barani Afrika (mpinzani wake wa karibu ni Antonio Nugaz wa Kambi Popote, Clouds TV). Lakini waswahili wanasema ‘Miluzi mingi humpoteza mbwa’. Baadhi ya wakenya wameliponda tangazo jipya la simu za Tecno Phantom lililofanywa na Mwakazi.

http://www.youtube.com/watch?v=oA78-J7vE3w

Tangazo hilo lenye urefu wa dakika tatu, linamuonesha Mwakazi akiwe kwenye vazi kama la mashemasi wa kanisa katoliki huku akiongea pole pole, kwa msisitizo na kwa mbwembwe kibaaaaaaaaao!!

Haya ni baadhi ya maoni:

Chim Obiajulu Khasiani

Wonder whether the Apex Porter Novelli team have seen the way this brand is being shat on! Ahahahahahahahahahaha! Jebus this was an epic fail! cc Lewis Kaburu turns out it’s a blessing we aren’t associated with this shit 🙂 Trollolololol!

Neomy John
Most boring thing I’ve ever watched. The idea was great but the action…. Naaaah!

Joe Karoki

This is the wackest & shitty ad I’ ever saw…

Mello Dee
wtf did I just watch?

Source: Ghafla Kenya

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents