HabariMichezo

VIDEO: Injinia Hersi awapa Ng’ombe wazee wa Yanga Zanzibar

Rais wa @yangasc Injinia Hersi Said @caamil_88 amewapa Ng’ombe mmoja Wazee mashabiki wa timu hiyo.

Ng’ombe huyo amesafirishwa kutoka Dar akiwa ni miongoni mwa wale waliotolewa na Chama Cha Mapinduzi kupitia kwa Mhe. Paul Makonda.

@yangasc wamezindua hamasa kuelekea mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Al Ahly Disemba 2,2023.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents