Uncategorized

Video: Manara afunguka ‘Naitumia fursa ya Simba kikamilifu, najitengenezea mazingira ya kesho, Kichuya ana bodaboda kama 70’

Afisa wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa kweli anatumia fursa ya upo wake ndani ya timu hiyo kwakuwa ilikuwa nia yake kutimiza adhima yake aliyojiwekea ya kuwadhihirishia watu kuwa ulemavu wa ngozi siyo tatizo kubwa kama linavyochukuliwa kwenye jamii huku akiongeza kuwa kufanya hivyo pia ni kujitengenezea maisha yake ya baadae.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents