Michezo

Video: Naibu Waziri, Juliana Shonza ashusha neema Tanga

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amewapelekea habari njema wakazi wa Mkoa wa Tanga, akiwa Wilayani Pangani amewaambia wadau na wapenzi wa mchezo wa soka kuwa wanatarajia kujenga kiwanja cha kisasa cha michezo kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kupitia fedha zinazotoka FIFA na huku akiwahamasisha kutumia fursa hiyo katika kukuza vipaji vya vijana wachanga.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents