Burudani

Video: Ninachomiss kwa Mkali Wenu ‘kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa’ – Mama Ashura

Muigizaji na mchekeshaji, Mama Ashura amesema kuwa anachomiss kwa muigizaji mwenzie waliekuwa nae Timamu Entertainment ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.


Mama Ashura na Mkeli Wenu

Akiulizwa na Bongo5, Mama Ashura kuwa anamiss nini kutoka kwa muigizaji mwenzie Mkali Wenu ambae kwasasa hayupo Timamu entertainment ndipo alipojibu hivyo.

Video:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents