Siasa
Video: Rais Kikwete akitoka hospitali ya Marekani alikokuwa akitibiwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameruhusiwa kutoka kwenye hospitali ya Johns Hopkins ya Maryland, nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa Tezi Dume.
http://youtu.be/PpcSgPuyRiM
Source: Issa Michuzi