Habari

Video: Serikali yatoa majibu kuhusu uhaba wa watumishi wa umma

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Serikali itajitahidi Halmashauri mpya ambazo zimeanzishwa kufanya tathmini kwa maeneo ambayo watumishi wameondoka ili kuweza kuziba mapengo katika maeneo hayo.

Kauli hiyo imetolewa, Bungeni leo mjini Dodoma na Naibu Waziri huyo alipoulizwa swali na Dr Raphael Chegeni, mbunge wa Busega lililohoji,

Kwa wilaya ambazo ni mpya na kama muheshimiwa alivyosema, alipita Busega akakuta matatizo pale ya watumishi, Je, Serikali ina mpango gani wa kusaidia wilaya hizo mpya ambazo zimeanzishwa zenye uhaba wa watumishi lakini pili baadhi watumishi walio wengi hawajalipwa mafao yao.

Video:Tazama majibu ya Serikali:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents