Burudani
Video: Tazama kionjo cha filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’
Official trailer ya filamu mpya ya James Bond iliyopewa jina la ‘Spectre’ imetoka mtandaoni.
Daniel Craig ameigiza kwa mara nyingine kama James Bond ikiwa ni muendelezo wa 24 wa filamu hiyo. Waigizaji wengine ni Christoph Waltz kama Franz Oberhauser, Ralph Fiennes kama M, Naomie Harris kama Eve Moneypenny na Ben Whishaw kama Q. Waigizaji wapya ni Monica Bellucci na Lea Seydoux.