Habari

VIDEO: Viwanda tuliviua sisi wenyewe na kwa Morogoro aliviua mbunge wetu – Rais Magufuli

”Umefanya lile ambalo halikufanikiwa kwa muda mrefu, kwasababu na wewe kiwanda hiki ulibinafsishwa ukawepa tangu mwaka 96, umekaanacho, unapiga mipango, angalau umekawia lakini umefika. Lakini kwa Abood yeye amekaa navyo, akaenda akakopea hela akanunua mabasi, kiwanda kinakufa, wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi mule wakawa wanakufa, yeye anawabeba kwenye mabasi anakwenda kuwazika, hii sio haki mimi nitazungumza kwa uwazi kwasababu msema kweli ni mpenzi wa Mungu.”- Rais Dkt Magufuli

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents