Habari

VIDEO: Inawezekana wengine wamekufa kwa kukosa ajira, unawabeba kwenye magari yako kwenda kuwazika – Rais Magufuli

”Na ndiyo maana leo nakupongeza sana Mhe. Rostam kweli nakupongeza kwa sababu ndugu yako Mbunge wa hapa ameshindwa kuendesha viwanda viwili hapa, na mimi huwa ni mkweli nazungumzaga kwa uwazi ndugu Abood alichukua viwanda viwili vikubwa cha Canvas na Moproco, kiwanda cha Moproco kilikuwa kinahusika na Cooking Oil, mafuta …… mbunge wetu na mimi nakusema hadharani sikufichi ukapewa hivyo viwanda tangu mwaka 96 mpaka mwaka jana walipokunyang’anya  miaka 24, kwa hiyo ukawanyima ajira hata wapiga kura wako, kwahiyo inawezekana wengine wamekufa kwa kukosa ajira lakini ikawa unawabeba kwenye magari yako kwenda kuwazika hongera kwa kuwazika, huu ndiyo ukweli na mimi nitabaki sikuzote kuzunguma ukweli,”- Rais Magufuli 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents