Habari

Video/Picha: Msichana wa Brazil ameza simu yake ya mkononi ili kumzuia mpenzi wake asisome ‘message’ zake

Wivu, uaminifu au chochote unachoweza kufikiria, kimemsababisha msichana mwenye miaka 19 kutoka Brazil Adriana Andrade kuimeza simu yake ya mkononi kama njia ya kumzuia boyfriend wake asisome ‘message’ katika simu yake.

Adriana

Mtandao wa Hispania Yipeta umeripoti kuwa baada ya tukio hilo msichana huyo alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kutolewa simu hiyo tumboni mwake.

Tazama video

http://youtu.be/7XiktnzOLWc

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents