Promotion

Washiriki wa Dance 100% waendelea kujifua kwa nusu fainali chini ya Vodacom

001.MABIBO
Mustafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania

005.MABIBO
Ramadhani Mohamed wa kundi la Tatanisha Dancers la Mabibo jijini Dar es Salaam akionesha umahiri wake wa kudansi wakati wa mazoezi yao ya kujindaa na nusu fainali ya shindano hilo

002.MABIBO
Mshiriki wa shindano la Dance 100%
Isyaka Ramadhan wa Kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujindaa na nusu fainali ya shindano la Dance 100

003.MABIBO
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Tatanisha Dancers” Mabibo jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo

004.MABIBO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents