Habari

Waziri Mkuu azindua mfumo wa kuandaa mipango na bajeti (+Picha)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye vituo vya kutolea huduma nchini. Ambapo uzinduzi huo ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya Kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma nchini. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu:

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Mrekani nchini, Bi. Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Wapili kushotoni ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na watatu kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu


aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Mrekani nchini, Bi. Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Wapili kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na watatu kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu


Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozindua mfumo huo kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watalaam wlioandaa Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma baada ya kuzindua mfumo huo kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Geotge Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa marekani Nchini, Bi. Inmi Pattersson. Aliyekaa kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017 Kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma . Wapili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana


Kaimu Balozi wa Marekani Nchini, Bi. Inmi Patterson akizungumza katika Uzinduzi wa Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma
uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents