Habari

Waziri Mkuu wa Ethiopia kuwatuma wataalam wa kuzalisha umeme nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema leo Waziri Mkuu wa Ethiopia atawatuma wataalam wa masuala ya umeme ujenzi wa miundombinu ya mabwawa ya maji kwa ajili ya kuzalisha umeme nchini.

Rais Magufuli ameyasema hayo jana kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu.

“Kesho Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn anawatuma wataalamu wake waliojenga mradi mkubwa wa bwawa la maji la kuzalisha umeme kule Ethiopia, wakiwa hapa mtakutana nao na mtabadilishana uzoefu, nataka na sisi tusichelewe, tuzalishe umeme utusaidie kwenye ujenzi wa viwandaā€¯ alisisitizaRais Magufuli.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents