BurudaniDiamond PlatnumzWema Sepetu
Wema kwa ushindi wa Diamond KTMA2014: I must say I am proud wife to be (Video)
Wema Sepetu amesema ushindi wa Diamond wa tuzo saba za KTMA 2014, umemfanya ajivunie kuwa mke mtarajiwa wa hitmaker huyo wa ‘My Number One’
Akitoa shukrani kwa niaba ya mpenzi wake huyo, Wema alisema: Diamond amechukua tuzo zote saba, I must say I am a proud wife to be.. I am very proud of my baby.”
Kauli hiyo iliuamsha ukumbi wa Mlimani City palipotolewa tuzo hizo .