Burudani

Wema Sepetu aiomba radhi Serikali na mashabiki wake kufuatia kuvuja kwa video yake chafu mtandaoni (+Video)

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amewaomba radhi Watanzania na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kufuatia video yake ya faragha kuvuja mtandaoni.

Wema Sepetu akiongea na Waandishi wa Habari leo jijini Dar Es Salaam, amesema kuwa amewakera Watanzania na mashabiki wake lakini hilo halitatokea tena.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents