Bongo Movie

Wema Sepetu atokwa povu baada ya kuambiwa anatoka kimapenzi na kijana huyu

Malkia wa filamu Wema Sepetu amewatolea uvivu mashabiki wake katika mitandao ya kijamii baada ya kuzushiwa kwamba anatoka kimapenzi na kijana huyu katika picha hapo chini.
page

Mwigizaji huyo amekanusha uvumi huo na kudai kijana huyo anayesemwa alifanya naye kazi wiki chache zilizopita.

Kupitia instgram, Wema ameandika

“Soooooooo, rumor has it that huyu mkaka ndo new baby, maskini ya Mungu. First & foremost, nimeongea nae kwa simu akaniomba niweze kuwa MC and special appearance at his birthday party… I got my paycheck and did my work. Sasa sielewi mipuuzi na mi***** inayotokwa mapovu kutwaa kunifatilia na maisha yangu . Ndo mimi nasemaje lets just assume it was true, ni maisha yangu ryt. So i dont know where all these bia**** with low lives wanakuja na kuanza kufatilia wats goin on in my Life. Nimewakosea nini Mungu wangu, maisha yangu yamekuwa ni deal kwenu. Naongea na wewe unaeuza nchi za waarabu…. Leave me and my Life alone… I keep saying this jamani, Sijawahi bother na maisha ya mtu… I do my shit…. Huyu kaka simjui na nimemjua on da nyt of his Birthday…. Hata kumuwish sijamuwish…. Nimewish mtu mwingine Birthday ila mijitu mifala inatokwa mapovu….. Sasa labda niseme hivi, Wema ana maisha yake nd anaishi atakavyo yeye… Maisha ya Wema hayamuhusu mtu yoyote mwingine….. And again, My heart belongs to someone else…. Nd I love my baby tooo much…. So mkiwa mnaandika vitu vyenu vya kipuuzi…. Again Im talking to you, Stupid Bi-polar Biatch…. Uwe una uhakika….. Kwani unachotaka kwangu ni nini Mbwa wewe… Wallahy never have I done this in my Life, But this has just pushed my buttons to da extent that I cannot take it anymore…. Nimekaa kimya muda mrefu sana and I aint a person dat talks too much… Ila napigiwa simu nyingi mpaka za demu wake na huyu Ally akilalamika and I had to do this…. I keep telling you unatia huruma, You need a Hug… But nat from me honey… Waarabu siku hizi hawalipi nini…? Usiharibie watu bwaana… Afu ni sababu nilikukataa kuwa karibu na mimi ndo maana umenikaa rohoni au…. Maana nakuskia tu unaongeeaaa utasema u r my Mom…. Leave me the Fuck alone…!!! una bahati sana nina wisdom ila leo ningekutukana mbwa wewe… But naaaaaah I got my siblings tena wadogo goin thru my page so I wouldnt want them to see things they shudnt…. But wewe Nyau… Kuna kitu unachokitafuta kwangu and utakipata soon…. If it wasnt for my baby nisingefanya huu upuuzi But My baby comes first…. I had to do this”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents