Tragedy

Andre 3000 wa Outkast ampoteza mama yake mzazi

Siku moja baada ya rapper wa kundi la Outkast Andre Lauren Benjamin maarufu kama Andre 3000 kusheherekea birthday yake ya miaka 38 (May 27 ), amepata msiba mkubwa kwa kumpoteza mama yake mzazi Sharon Benjamin-Hodo.

sharon-benjamin-hodo-4

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali mama yake na Andre aliyekuwa na miaka 58 alifariki dunia Jumanne (May 28) akiwa amelala huko nyumbani kwake Georgia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents