Technology

Apple yatambulisha iPhone 7 nyekundu kwa ushirikiano na Red

By  | 

Kampuni ya Apple imetangaza kuingiza sokoni simu za iPhone 7 zenye rangi nyekundu ikishirikiana na shirika la misaada la Red.

iPhone 7 na iPhone 7 Plus zitapatikana zikiwa na ukubwa wa 128 GB na 256 GB na zitaingia sokoni Ijumaa hii, March 24. Red ni taasisi iliyoanzishwa na muimbaji wa kundi la U2, Bono akishirikiana na Bobby Shriver na hutoa misaada ya kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria.

Mwenyekiti Mtendaji wa Apple, Tim Cook amesema:

Since we began working with (Red) 10 years ago, our customers have made a significant impact in fighting the spread of AIDS through the purchase of our products. The introduction of this special edition iPhone in a gorgeous red finish is our biggest offering to date in celebration of our partnership with (Red), and we can’t wait to get it into customers’ hands.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments