Bongo Movie

Big Boss atoka na Black on Black kwa Mwaki the Don

Mwaki_face

Studio ya Kiumbe Video Production imepata Director mpya ambaye ni Mwaki the Don, ambaye anauzoefu kwa muda mrefu kwa kutengeneza filamu na vipindi mbalimbali kama Millosis. Mwaki anasema kwa sasa kampuni inataraji kufanya kazi ya kutengeneza filamu.


Anasema baada ya hapo wanatarajia kufanya video za wasanii wengine ambao, Audio zao zinafanyiwa kazi, kwenye studio ya Kiumbe record.

mwaki_alama

mwaki_vidole

Mwaki
Video mpya ya msanii Big Bos -Black on Black

{hwdvs-player}id=1643|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents