Tupo Nawe

Binti wa Whitney Houston ‘Bobbi Kristina’ achumbiwa na ‘kaka’ yake, adai mama yake aliruhusu wawe wapenzi

Mtoto wa marehemu Whitney Houston Bobbi Kristina Brown ametangaza kuwa ‘engeged’ na ‘kaka’ yake Nick Gordon ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja toka kifo cha Whitney Houston (February) 2012.

bobbi new

Nick Gordon na Bobbi Kristina siyo ndugu wa damu, lakini Gordon ni kijana ambaye alilelewa na Whitney Houston kama mtoto wake wa kumzaa hivyo yeye na Bobbi walikuwa kama mtu na dada yake kutokana na hilo.

Kwa mujibu wa Daily Mail, Toka kifo cha Whitney Bobbi amekuwa akiandamwa na skendo hiyo ya kutembea na ‘kaka’ yake kitu ambacho amejitetea kupitia ukurusa wake wa facebook kwa kudai kuwa Gordon sio kaka yake wa damu wala hakuasiliwa na mama yake, pia akaongeza kuwa Whitney aliwahi kumwambia kuwa anajuwa watakuja kudate.

Bobbi aliandika: “Let me clear up something, we aren’t even real brother and sister nor is he my adoptive brother. My mom never adopted him. In fact, mommy was the one who even said that she knew that we were going to start dating. My mom knows me better than any of you.”

Bobbi post

Bobbi Kristina-1

Aliendelea kusema, “A lot of ‘yall are saying that y’all are only saying this all out of love. Which is bull because if that was so, all you would want is for me to be happy. People need to seriously stop judging my relationship. Pretty sure it’s my own decision who I want to be with. Yes, my relationship may not be perfect. We will have rough patches, just like every other relationship. And we have had our rough patches. You may or may not agree with my relationship. You may or may not respect it. Judge me, go ahead. Your opinions are yours and mine are mine. It is my life and not yours. The decisions I make have nothing to do with you. Goodnight.”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW