Burudani

Kanye West abadilisha muonekano wake, sababu kubwa mbili zapelekea afanye maamuzi hayo

Ikiwa ni siku mbili zimepita tangu familia ya rapper Kanye West kunusurika kwenye janga la moto Mjini California nchini Marekani, mkali huyo wa hip hop ameamua kubadilisha rangi yta nywele zake.

Not happy: The 41-year-old looked anything but cheery when he emerged from a Los Angeles building with plenty of security in tow
Kanye West

Kanye West ame-bleach nywele zake kwa kuweka rangi nyekundu, hii sio tu kwa sababu ya janga hilo la moto bali pia yupo location ku-shoot video yake mpya na rapper Tekashi69 na Nicki Minaj.

Apparel: Despite his frown of a facial expression, Kanye remained comfortable wearing a neon green sweater underneath his black bomber jacket

Juzi Ijumaa moto mkubwa ulizuka mjini Los Angeles na kuteketeza nyumba zaidi 19, ambapo awali taarifa zilieleza kuwa moja ya nyumba iliyoteketea ni ya Kanye West, lakini baadae Kim Kardashian alikuja kukanusha na kutaka watu walioguswa na tukio hilo kuwachangia waliopatwa na janga hilo.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents