Burudani

Lamata na Ubunifu huu mkubwa Filamu hadi Redioni kama zamani

Katika kukuza Sekta ya filamu Nchini Mkurugenzi wa Lamata Village @lamataleah ameshiriki na wasanii pamoja na mastaa mbalimbali kuzindua Tamthilia yao mpya iliyopewa jina la Ezra ambayo itaruka Redioni

Tazama alivyowatambulisha wasanii walioshiriki akiwemo @hemedyphd pamoja na wasanii wengine wakali

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5

Written and edited by @abbrah255 and @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents