Burudani

Picha: Chris Brown na Tyga waja na muonekano wa Kriss Kross

Chris Brown na Tyga wakiwa mbioni kutoa album yao ya mpya, Fan Of A Fan 2, wameamua kubadilisha muonekano wao na kuwa kama wa Chris “Mac Daddy” Kelly na Chris “Daddy Mac” Smith waliojulikana zaidi kama Kriss Kross.

6878695-chris-brown-wallpaper
Style ya mwanzoni wakati anatoka Chris Brown alikuwa na nywele za chini yaani Lowcut.

209x132xAmazing-Chris-Brown-Blonde-Hair.jpg.pagespeed.ic_.XPMzcJvpyy
Style ya kuweka rangi ya dhahabu au blonde style

Pia Chris alikuwa na muonekano wa style ya kuweka rangi ya dhahabu au blonde.

chris-brown-hair-7
Chris Brown na style yake mpya ambayo inaonekana kufanana na rapper wa kundi la kriss kross ‘Esque aesthetic’

Photo of KRIS KROSS

chris-brown-hair-9-

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents