Burudani

Picha: Muimbaji Raymond alivyokutana na balozi wa Tanzania nchini Sweden

Alhamisi hii Raymond ambaye yupo nchini Sweden kwa ajili ya ziara yake ya muziki amefanikiwa kumtembelea Balozi wa Tanzania nchini humo, H.E Dora Mmari Msechu.

Muimbaji huyo hakusita kuonyesha furaha yake baada ya kukutana na kiongozi huyo. Kupitia mtandao wa Instagram, hitmaker huyo wa ‘Natafuta Kiki’ ameandika, “Earlier today When I was Invited at the Embassy of the United Republic of Tanzania in Sweden. it was wonderfull Moment for all of us…”

“Ni nafasi ya kipekee nilioipata siku ya leo baada ya kualikwa na balozi wa Tanzania nchini Sweden. Ninafurahi sana kuona mnatuthamini Vijana wenu na kutushika Mkono pia mkitutia moyo tusikate tamaa tuzidi kusonga zaidi na zaidi. Msiache kunisapoti kijana Wenu #tanzanianboy,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents