Burudani ya Michezo Live

Tasnia ya Filamu Tanzania ilivamiwa na watu wasio na vipaji, hizi ndio sababu zilizopelekea tasnia hii kutetereka – Dude

Tasnia ya Filamu Tanzania ilivamiwa na watu wasio na vipaji, hizi ndio sababu zilizopelekea tasnia hii kutetereka - Dude

Muigizaji nguli wa Filamu Tanzania Dude afunguka mwanzo mwisho siku ya uzinduzi wa filamu ya Bahasha na kusema Bongo Movie kwa sasa wamejipanga vilivyo.
Dude amefunguka wakati anapiga stori na Bongo Five na kusema “kipindi cha nyuma tasnia hii haikufanya vizuri kwa sababu ilivamiwa na watu wasio na vipaji kwani watu walikuwa wanaangalia hasa wanawake wenye makalio makubwa pia wanaume wenye sura nzuri badala yake soko la filamu linashuka badala ya kuangalia watu wenye vipaji”

Hizi ndio sababu alizozitoa msanii huyo:-

By Ally Juma

Related Articles

2 Comments

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW