Burudani ya Michezo Live

The Session: Interview na producer wa ‘Yahaya’ ya Lady JayDee, Man Water wa Combination Sound (video)

The Session ya Creative Minds wiki hii imetembelea studio ya Combination Sound aka Combinenga na kupiga story na producer aliyetengeneza hits kibao zikiwemo Baadae ya Ommy Dimpoz, na hivi sasa Yahaya ya Lady Jaydee, si mwingine ni Mtayarishaji bora kwa mwaka 2013 kupitia KTMA, Man Water aka Man Maji. Mtazame akifanyiwa mahojiano na Kennedy The Remedy

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW