Videos
Video: Stan Bakora – Angekuona (Parody)
Stan Bakora ameendelea kuachia Parody ya nyimbo za Bongo Fleva ambazo zinafanya vizuri. Mchekeshaji huyo ameachia video ya wimbo wa ‘Angekuona’ ambao umeimbwa na Aslay.
Tazama video hiyo hapa chini uburudike.