Habari
Video: Tazama Afrokid Documentary iliyofanyika Morogoro, itakuliza
Afrokid Documentary inaangaza maisha ya mtoto, Dame Jumanne anayeishi katika kijiji cha Ruvuma, kilichopo mkoani Morogoro. Dame anakabiliwa na ugumu wa maisha kutokana na familia yake kuwa maskini na huku akilazimika kutembea kila saba (kwenda na kurudi 14) kila siku kwenda shule. Jionee mwenyewe na saidia mradi huu.