Burudani

Maamuzi ya Kendrick Lamar yawashtua mashabiki

Nini kimemkuta Kendrick Lamar? Hilo ndio swali ambalo kila mmoja anajiuliza kwa sasa.

Rapper huyo amefuta picha zake zote kwenye mtandao wake wa Instagram yenye followers milioni 4.1 na kubakisha picha moja pekee ambayo inanamba ya kirumi IV (nne).

Hata hivyo mpaka sasa bado haijajulikana sababu ya kuiweka namba hiyo katika mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents