Burudani
Roma auzungumzia mpango wa kufundisha shule za msingi (Video)
Msanii wa muziki wa hip hop, Roma Mkatoliki amedai ataangalia namna sahihi ya kupata hata siku moja kwa mwezi kwaajili ya kuwafundisha hesabu wanafunzi wa shule ya msingi Mchikichini Mbagala jijini Dar es salaam.