Burudani
Video: Alikiba na Diamond wanatumia ushirikina – Makomando
Msanii wa muziki kutoka kundi la Makomando (Fredy) amebainisha uwepo wa wasanii wa Bongo Flava wanaotumi ushirikina ‘ndele’ katika muziki wao, huku akimtaja Alikiba na Diamond Platnumz kufanya mchezo huo.