Burudani
Picha mpya za Ciara ‘pasua kichwa’ machoni mwa vidume
Ex wa rapper Future takribani miaka mitatu iliyopita, mwanamuziki Ciara amefungua mwaka huu kwa kuachia picha ambazo haziwezi kuwa za kawaida machoni mwa vidume.
Muimbaji huyo ambaye alijifungua mtoto wa pili April mwaka jana ametumia ukurasa wake wa Instagram kuweka picha hizo.