Habari

Naibu Waziri wa ardhi baada ya kufiwa na mumewe, Spika Ndugai ampa pole Bungeni (+video)

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula alifiwa na mumewe Juni 13, 2018 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Leo Spika wa Bunge Job Ndugai wakati Mh. Angelina akitaka kujibu swali la Mbunge amempa pole kufuatia msiba huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents