Burudani
Msanii wa Rwanda, Safi Madiba aachia video ya wimbo ‘Ina Million’ aliyomshirikisha Harmonize
Msanii, Safi Madiba kutoka Rwanda ameachia video ya wimbo wake mpya aliyo mshirikisha Harmonize kutoka WCB, unaojulikana kwa jina la ‘Ina Million’.