Burudani
Chid Benz aionyesha nyumba yake, afungua mradi huu, amuomba Rais Magufuli mambo haya (+ Video)
Msanii na mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Chid Benz ameamua kuionyesha nyumba yake mpya na kuonyesha kwa mara ya kwanza mradi wake ambao ni wa kuchoma mkaa, lakini pia amuomba Mh. Rais Magufuli mambo kadhaa:-
By Ally Juma.