Burudani

Flaviana Matata amkingia kifua Vanessa Mdee na Shilole, Nilimpigia simu watu wanamlaumu bila kujua sababu (+Video)

Mwanamitindo @flavianamatata ametoa maoni yake kuhusu sakata la msanii @vanessamdee kuamua kuacha muziki huku akiwashauri Watanzania waache kumlaumu kwani hawajui kilichomsibu.

“Ni ngumu sana kufanya kazi ya kuwaburudisha watu huku unapitia wakati mgumu hata mimi ningefanya hivyo” Mbali na hilo @flavianamatata amegusia suala la msanii @officialshilole kupigwa na kuumizwa na mume wake @uchebe1
“Nilimpigia @officialshilole simu nilipoziona zile picha sikukurupuka kuandika mtandaoni “

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents