Siasa
Rais Magufuli: Nimeyasoma majina ya wagombea wote 10,367, tumetumia siku mbili (+Video)
“Na mimi nataka kuwathibitishia Wajumbe, nimesoma majina yote 10,367, na ndiyo maana uchambuzi wa kila mmoja wa kina tunao hapa, na mabegi mengine yapo huko nyuma, ebu yainue”
https://www.youtube.com/watch?v=7rWuBSFHut8
https://www.youtube.com/watch?v=3zkBb4QBXAY
https://www.youtube.com/watch?v=sA5Krngx6tA