Habari
Jagged Edge na Blackstreet kutua Bongo
Inasemekana kuwa wakali wa R&B Jagged Edge na Blackstreet watatua ndani ya Bongo mwanzoni wa mwezi wa saba
Inasemekana kuwa Zizzou Entertainment imedhamini onesho ya wakali hao, na siku hiyo wasanii kama Mr. Blue, Ngwair na wengine waliyo chini ya Zizzou wataangusha show ya nguvu kabisa.
Wadau kaeni mkao wa kula!