Muziki
MUSIC VIDEO: Seneta Seneta Ft Mr. T Touch – MATOPE
Hii ni video ya ngoma mpya kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, @senetaworldwide akiwa amemshirikisha Producer, @mrttouchez ngoma inaitwa Matope.
Video ya ngoma hii imeomgozwa na @travellah kutoka Kwetu Studio na Audio imetengenezwa na @mrttouchez . Bofya link kwenye Bio ya @senetaworldwide kutazama full video.