Mahojiano
Ze comedy show yarudishwa upya, waeleza mipango na sehemu watakayoionyesha (+ Video)
Wakiongea na @el_mando_tz waanzilishi wa kundi hilo wakiongozwa na @mkandamizaji @mpokimjuni1 @jotiofficial #Makregani na #Wakuvanga wameeleza sababu ya kulirudisha kundi hilo tena.