Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Saraphina afunguka kuhusu collabo yake na Harmonize
Staa wa Bongo Fleva @saraphina__tz amezungumzia collabo yake na @harmonize_tz ambayo @harmonize_tz aliiomba kupitia Instagram. Akizungumza na @el_mando_tz @saraphina__tz pia ameeleza kuhusu kuiga aina ya uimbaji wa @vanessamdee
Ikumbukwe kuwa Harmonize aliomba kufanya collabo na Saraphina kupitia Instagram yake kuwa ameipenda ngoma yake ya UPO NYONYO na Saraphina ameeleza kuwa kila kitu tayari.
Saraphina ameongea hayo na bongo five wakati anafanya show katika Tamasha la Mziki Mnene mkoani Mtwara.