Michezo
Niffer apagawa na penzi la Diarra wa Yanga (+Video)
Mrembo Niffer Amesema anakioaji Cha Kucheza Mpira wa Miguu na amecheza sana kipindi Cha utoto wake SEMA mamayake Mzazi alikatisha Ndoto ya Kucheza Mpira,Lakini kipindi anacheza alikuwa anacheza Namba Saba kama Ronaldo,Messi au MBAPPE hao ndiyo alikuwa anafanana nao.