Burudani
Lionel Richie kutua Uganda
Ushindani wa makampuni ya simu huko Uganda unaonekana kuwafaidisha wapenda muziki kwani akimaliza R.Kelly mwishoni mwa mwezi huu, anadondoka mzee mzima Lionel Richie. R. kelly analetwa na kampuni ya Zain wakati mpango mzima wa Richie unafanywa na MTN Uganda. Mapromota wa Bongo pigeni ndogondogo basi jamaa wafike mpaka huku