Wyclef Jean Kugombea Urais

Rapper,Producer na Mwimbaji Wyclef Jean anayetokea Haiti ameamua kuingia katika wimbi la siasa kwa kuwania Urais wa nchi yake.

Kufuatia mtetemeko wa ardhi mkubwa ulioitikisa nchi hiyo mapema mwaka huu,na baadaye kuleta majanga makubwa kwa wananchi wa Haiti, Wyclef ameamua kuwania nafasi hiyo kujaribu kuleta uafadhali wa hali duni ya maisha kwa wananchi,na mabadiliko kimaendeleo.

Wyclef bado atatakiwa kupitishwa kikura na bodi ya Wagombea urais nchini humo.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents