Burudani
AY atua Moscow salama
Mzee wa Commercial AY akipozi na promoters kutoka The Hustlers Entertainment ya jijini Moscow baada ya kufika salama.
AY yupo jijini Moscow kwa ajili ya kufanya show ndani ya ukumbi wa TOKYO CLUB Jumamosi ya tarehe 18 Desemba mwaka huu.