Weasle na Radio wapagawisha
Wanamuziki toka Uganda Radio na Weasle, wakiwa katika tamasha la wasanii waliochukua tuzo za Kili Musiki, kuwapongeza mashabiki wao kutokana na mchango wao wa kuwapigia kura, katika kinyanyiro cha kili.
Katika onesho hilo lilipamba na wanamuziki mbalimbali, wapo waliopokea tuzo na wengine ambao hawajapokea tuzo ila wamekuja kuwasindikiza wenzao ambao wamepokea tuzo.
Mwanamuziki Jacob Makala, akiwa na rafiki yake wakitoa buludani kwa mashabiki wao ambao wamekuja kuwapongeza.
Mapacha watatu wakiwa na madensa wao, wakitoa buludani kwa mashabiki.
Mapacha watatu, wakipata kikombe cha babu ikiwa ni moja ya staili yao ya kuimba
Mwanamuziki Linah akitoa burudani kwa mashabiki wake.
Mwanamuziki toka katika kundi la mapacha watatu, Kharid Chokoraa akitoa buludani
Mwanamuziki toka THT, Barnaba akiimba.