Burudani

Picha: Uzinduzi wa video mbili za Professor Jay

Gwiji wa muziki wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule aka Professor Jay usiku wa Jumamosi aliwapa zawadi mashabiki na wapenzi wa muziki wake kwa kwenye uzinduzi wa video zake mbili mpya, Tatu Chafu na Kipi Sijasikia. Uzinduzi huo ulifanyika ndani ya ukumbi wa Ten Lounge zamani ukifahamika kama Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria jijini Dar. Wasanii wengine waliokuwepo ni pamoja na Chidi Benz,Wakazi,Soggy Doggy,Linex,Lady Jaydee,,Dogo Janja,Stara Thomas na TID.

Hizi ni picha za uzinduzi huo.

IMG_4896

IMG_4899

IMG_4901

IMG_4905

IMG_4906

IMG_4908

IMG_4909

IMG_4912

IMG_4914

IMG_4920

IMG_4922

IMG_4926

IMG_4929

IMG_4931

IMG_4938

IMG_4944

IMG_4946

IMG_4951

IMG_4955

IMG_4962

IMG_4964

IMG_4965

IMG_4967

IMG_4969

IMG_4975

IMG_4978

IMG_4979

IMG_4981

IMG_4986

IMG_4988

IMG_4989

IMG_4998

IMG_4999

IMG_5008

Lady Jay Dee akiwasabahi mashabiki zake
Lady Jaydee akiwasabahi mashabiki zake

Lenex na Wakzi
Linex na Wakazi

M2 The P akiwa na Q Chilla
M2 The P akiwa na Q Chilla

Msanii Tausi nae alikuwepo
Msanii wa Bongo Movie, Tausi naye alikuwepo

Producer Lamar na Gagna G
Producer Lamar na Gadner G Habash

Producer Lamar na Msanii wake Nuru
Producer Lamar na msanii wake Nuru

Professor Jay alipo kuwa akingia ukumbini
Professor Jay alipokuwa akiingia ukumbini

Professor Jay alipo kuwa akizndua kuoneka kwa hizo video
Professor Jay akizindua video zake

Sogy Dogy na Chid Benz

Stara Tomasi katika Pozi
Stara Thomas katika pozi

TID ndo alikuwa Mc balaaa
TID ndo alikuwa MC, ilikuwa nomaa

Wema Sepetu na Team yake
Wema Sepetu na team yake

IMG_4890

IMG_4892

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents