Burudani

Adele aipiku ‘Views’ ya Drake kwenye mauzo ya albamu mwaka jana

Wakati albamu ya Drake ‘Views’ ikiweka rekodi kwenye chati mbalimbali duniani kwa mwaka jana ‘25’ ya Adele imeibwaga albamu hiyo kwenye mauzo.

Adele amefanikiwa kuuza kopi zipatazo milioni 1.55 ya albamu yake hiyo iliyotoka Novemba 25, 2015 huku ‘Views’ ya Drake ikiuza kopi milioni 1.51.

Lakini pia kwa mujibu wa ripoti ya BuzzAngele Music imedai kuwa wimbo ambao umesikilizwa zaidi kwa mwaka jana ni ‘Panda’ ya Desiigner ambapo ulisikilizwa zaidi ya mara milioni 737.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents