Burudani

Alikiba afunguka kuhusu kuachana na mke wake – Video

Alikiba afunguka kuhusu kuachana na mke wake - Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Salehe Kiba alimaarufu Alikiba amefunguka kuhusu taarifa zinazosambaa kweny mitandao ya bkijamii kuhusu kuachana na mke wake.Ikumbukwe kuwa kuna taarifa zilienea sana mitandao kuwa msanii Alikiba ameachana na mke wake ambaye anatokea Mombasa kenya.

Akiongea katika kipindi cha XXL kinachoruka Clouds Fm Alikiba alifunguka haya:-

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents